Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akisainib kitabu cha maombolezo
mara baada ya kuwasili Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa kanisa Katoliki
Tanzania (TEC) kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo
kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao
Makuu ya Baraza hilo Kurasini Jijini Dar es Salaam, Novemba 26, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akitoa salamu zake za mwisho
kwa mwili wa Marehemu Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la
Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe akizungumza wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu
Baba Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,Ibada iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa
Katoliki Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es salaam.Novemba 26,2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akiwa na Rais Mstaafu wa awamu
ya tatu Benjamini Mkapa, Mama Anna Mkapa pamoja na Maaskofu, Mapadre, Masista na
Waumini wenginne wakati ibada ikiendelea ya kuaga mwili wa Marehemu Baba Askofu
Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya, iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki
Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe akipongezwa mara baada ya kutoa
salamu za rambirambi na Makamu wa Rais wa baraza la Maaskofu wa Kanisa katoliki
Baba Askofu Dkt.Flavian Kasalla wakati wa Ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Baba
Askofu Evaristo Chengula wa Jimbo kuu la Mbeya,iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Immakulata Makao makuu ya Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki
Tanzania (TEC) Kurasini Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment