Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (aliyevaa tai), akiongozana na
Viongozi wa Jeshi la Polisi kukagua majengo ya polisi katika Chuo cha Taaluma
ya Polisi, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la
Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho
wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika
hivi karibuni.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima ,akiangalia moja ya mabweni katika
Chuo cha Taaluma ya Polisi kilichopo Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho, Naibu Kamishna Anthony Rutashugulubukwa, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John
Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali
ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni.
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya
Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna Anthony
Rutashugulubukwa, akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Ramadhani Kailima (katikati), baada ya kukagua majengo ya chuo , jijini Dar es
Salaam, ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka
ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi
Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima. akizungumza katika Kikao na Maafisa
wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa utekelezaji wa agizo la
Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa majengo ya chuo hicho wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi
Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kulia ni Kaimu Mkuu
wa Kitengo cha Fedha na Lojistiki, Naibu Kamishna Leonard Paul.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha
Fedha na Lojistiki Jeshi la Polisi, Naibu Kamishna Leonard Paul akizungumza
katika Kikao na Maafisa wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani) ikiwa ni mwanzo wa
utekelezaji wa agizo la Rais Dkt. John Magufuli kutaka ujenzi na ukarabati wa
majengo ya Chuo cha Taaluma ya Polisi wakati wa Mahafali ya Maafisa na Wakaguzi
Wasaidizi wa Polisi yaliyofanyika hivi karibuni chuoni hapo.Kikao kimefanyika
jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima. Picha
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment