HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

December 10, 2018

BODI YA WAKURUGENZI WA MAMLAKA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI TANZANIA - TAWA

Waziri wa Maliasili na Utalii amefanya mabadiliko katika safu ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania – TAWA. Baada ya mabadiliko hayo, safu ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Wanyamapori Tanzania ni kama ifuatavyo:
                        i.         Dkt. James James V. Wakibara
                      ii.         Dkt. Freddy S. Manongi
                     iii.         Bw. Robert Mande
                    iv.         Bw. Balandya Elikana
                      v.         Mej. Jen. George T. Msongole
                    vi.         Bw. John Cheyo
                   vii.         DCP Paul Rwabuzera
                 viii.         Dkt. Fabian M. Madele
                    ix.         Mkurugenzi Mkuu TANAPA (Dkt. Allan J. H. Kijazi)
                      x.         Mkurugenzi wa Wanyamapori (Bw. Canisius M. Karamaga)
                    xi.         Bw. Abubakar Faraji

Mwenyekiti wa Bodi hii, ambaye aliteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, ni Meja Jenerali (Mstaafu) Hamisi R. Semfuko.

Imetolewa na


Dorina G. Makaya
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
10 Disemba, 2018
        

No comments:

Post a Comment

Pages