Brass Band ikiongoza maandamno wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta (wa tatu kulia) pamoja na wanataaluma wengine wakielekea katika ukumbi wa mahafali.
Mlau Prof. Binamungu akiongoza maandamano ya kitaaluma.
Wanataaluma wakiingia kwa maandamano.
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro (mbele), Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh (katikati) na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta wakiingia kwa maandamano kuelekea katika ukumbi wa Mahafali ya 17 ya Kampasi ya Dar es Salaam ya Chuo Kikuu Mzumbe Novemba 30, 2018.
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kampasi ya Dar es Salaam ya Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Honest Ngowi, Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof, Mathew Luhanga, wakiimba wimbo wa Taifa.
Kuimba wimbo wa Taifa.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa taifa.
Wahitimu wa fani mbalimbali.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, akimkaribisha Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe kuunda mkusanyiko wa mahafali ya 17.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta akitangaza kuunda mkusanyiko wa mahafali ya 17.
Mlau Prof. Binamungu akitoa hotuba yake.
Wahitimu wakiimba wimbo wa chuo.
Wanachuo wakiimba wimbo wa chuo.
Wanafunzi wakiimba wimbo wa chuo.
Kuimba wimbo wa chuo.
Kuimba wimbo wa chuo.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo, Prof. Mathew Luhanga, akitoa hotuba yake.
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Mathew Luhanga, akitoa hotuba yake.
Baadhi ya Wanataaluma.
Meza Kuu.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta na Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka wakitafakari jambo.
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro.
Baadhi ya wahitimu.
Wanataaluma wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa hotuba yake wakati wa Mahafali ya 17 ya Kampasi ya Dar es Salaam.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka akitoa hotuba yake wakati wa Mahafali ya 17 ya Kampasi ya Dar es Salaam.
Prof. Lughano Kusiluka akifafanua jambo wakati wa Mahafali ya 17 ya Kampasi ya Dar es Salaam.
Mkuu wa Kampasi ya Dar es Salaam ya Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Honest Ngowi, akiwatambua wanachuo waliofanya vizuri na wanataaluma waliofanya vizuri.
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akimkaribisha Mkuu wa Kampasi Kuhudhurisha Wahitimu.
Mkuu wa Kampasi ya Dar es Salaam akihudhurisha Wahitimu.
Wahitimu wa fani mbalimbali.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti Mwanachuo aliyefanya vizuri, Sospeter Makubi, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti Mwanachuo Bora, Rehemaely Makotha, wakati wa Mahafali ya 17 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta, akimkabidhi cheti cha kutambua mchango wa Prof. Honest Ngowi kwa maendeleo ya Chuo Kikuu Mzumbe kupitia mradi wa ushirikiano kati ya Mzumbe na Kuehne Foundation ya Uswiss.
Hongera sana.
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Jaji Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta akiwatunuku Shahada wanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe.
Rehemaely Makotha, akiwa amepozi kwa picha.
Hongera.
Wahitimu wakitunukiwa shahada.
Baadhi ya wahitimu.
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka.
Baadhi ya wahitimu wakivaa kofia zao.
Wahitimu wakitunukiwa shahada zao.
No comments:
Post a Comment