Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi
alichokiitisha cha kujadili namna ya kuondoa kero zinazowapata
wawekezaji kuhusu upatikanaji wa vibali vya Kazi na Uhamiaji.
Kikao hicho kilichofanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar
es salaam, Desemba 19, 2018, kiliwahusisha Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
(wapili kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni
(watatu kushoto) , Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na
Ajira, Anthony Mavunde (watatu kulia), Kamishina wa Uhamiaji, Dkt. Anna
Peter Makakala (wapili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha
Uwekezaji Tanzania (TIC) Geofrey Mwambe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa
Bodi ya TCCIA, Ofisini kwa Waziri Mkuu, jijini Dar es salaam, Desemba
19, 2018.
No comments:
Post a Comment