Picha namba 1. Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani
Namanga One Stop Border Post (OSBP)
upande wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakimwagia maji mti mara
baada ya kuupanda wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kutoa huduma kwa
pamoja mpakani Namanga One Stop Border
Post (OSBP) upande wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Rais wa Kenya Uhuru
Kenyatta mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani
Namanga One Stop Border Post (OSBP)
upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
wakiwa wameshikana mkono wakati
wakimwagia maji mti mara baada ya kuupanda wakati wa hafla ya ufunguzi
wa Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
wakipanda mti mara baada ya mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa
pamoja mpakani Namanga One Stop Border
Post (OSBP) upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
wakipata maelezo ya kituo hicho cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa
Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa
kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa
Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa Tanzania.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakikata
utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa
Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipungia wananchi mara baada ya kuwasili
katika eneo la mkutano pembezoni mwa Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani
Namanga One Stop Border Post (OSBP)
upande wa Tanzania.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza jambo jijini Arusha kabla ya
kupanda gari kuelekea Namanga mpani mwa Tanzania na Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakifurahi nyimbo zilizokuwa zikipigwa na
bendi ya polisi katika hafla ya ufunguzi wa vituo hivyo vya mpakani.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi funguo
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kufungua Kituo cha Kutoa huduma kwa
pamoja mpakani Namanga One Stop Border
Post (OSBP) upande wa Tanzania
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakikata utepe
kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kutoa huduma kwa pamoja mpakani Namanga One Stop Border Post (OSBP) upande wa
Kenya.
Baadhi ya Wananchi wa Kenya na Tanzania
waliohudhuria katika hafla ya ufunguzi wa Vituo hivyo Mpakani Namanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta wakielekea upande wa mpaka wa Tanzania mara baada ya
ufunguzi wa kituo cha kutoa huduma kwa pamoja kwa upande wa Kenya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa
Kenya Uhuru Kenyatta wakielekea kupanda gari moja kutoka Arusha mjini kuelekea
Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment