Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam,Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga .Desemba 10,2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea Ikulu Jijini Dar es salaam ambapo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria mazungumzo hayo.Desemba 10,2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Bw. Marc-Andre Fredette Mkurugenzi Mkuu Masuala ya Kimataifa wa Canada alipotembelea na kuzungumza nae Ikulu Jijini Dar es salaam.Mazungumzo ambayo pia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt.Agustine Mahiga alihudhuria.Desemba 10,2018. PICHA NA IKULU
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
No comments:
Post a Comment