Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Misungwi, Charles
Kitwanga ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini
Dodoma kwa matibabu, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
PMO
0373 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole, Mkuu wa wilaya ya Bahi,
Mwanahamisi Mkunda ambaye anamuuguza mwanae, Tunu Kikula aliyelazwa
katika hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma kwa matibabu, Januari
30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya madaktari na wauguzi wa Kitengo cha Kusafisha Damu katika
hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma wakati alipowajulia hali
wagonjwa hospitalini hapo, Januari 30, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
No comments:
Post a Comment