HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

January 28, 2019

WAKUU WA MIKOA YOTE WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA WADOGO WADOGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere akitafanua jambo kwa wakuu wa mikoa yote nchini wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi na kuhudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akiongoza kikao kazi cha Wakuu wa Mikoa yote nchini kilichohudhuriwa pia na Katibu Mkuu Tamisemi Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Arusha Mhe. Mrisho Gambo awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul makonda awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Bilinith Mahenge awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Geita Mhandisi Robert Gabriel  awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Iringa Mhe. Ally Hapi  awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Kagera Brigedia jenerali Marco Gaguti awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali (Mst) Emmanuel Maganga sehemu ya  awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira sehemu ya awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Lindi Mhe. Godfrey Zambi   sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Manyara Mhe. Alexander Mnyeti  sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Mara Mhe. Adam Malima  sehemu ya awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Mbeya Mhe. Albert Chalamila  sehemu ya  awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dkt. Steven Kebwe  sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019

 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Njombe Mhe. Christopher Ole Sendeka sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Rukwa Mhe. Joachim Wangabo sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Ruvuma Mhe. Christina Mndeme sehemu ya awamu ya pili ya   vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Tellack   sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Simiyu Mhe. Anthony Mtaka  sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi  sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Songwe Brigedia Jenerali  Nicodemus Elias Mwangela sehemu ya  awamu ya pili ya    vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019 
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa  Tabora Mhe. Aggrey Manri sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
 Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe  Martine Shigella sehemu ya   awamu ya pili ya  vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo. Wanaoshuhudia katikati ni  Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019
Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi  katika picha ya pamoja akiwa ameketi na Katibu Mkuu TAMISEMI  Mhandisi John Nyamhanga (kulia kwake) na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Vijana) Bw. Andrew Massawe  (Kushoto Kwake)  Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Charles Kichere (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Ndikilo (kulia) baada ya kuwakabidhi wakuu wa Mikoa hao awamu ya pili ya vitambulisho vya wafanyabishara ndogondogo vilivyotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Ta nzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kikao kazi cha kujadili mikakati ya kufanikisha zoezi hilo   Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 28, 2019.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Pages