HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 05, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE NA HRSTA WAWAKUTANISHA WANATAALUMA YA RASILIMALI WATU DAR

Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam, Dk. Faisal Issa, akifungua mazungumzo ya Mwezi yaliyowakutanisha  Wanataaluma ya Rasilimali Watu na kuandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu (HRSTA).
Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam, Dk. Faisal Issa, akifungua mazungumzo ya Mwezi yaliyoandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam.
Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam, Dk. Faisal Issa, akifungua mazungumzo ya Mwezi yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu (HRSTA).
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Akiba Commercial Bank, Robert Masala, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi ya Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam kwa kushirikiana na HRSTA.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Akiba Commercial Bank, Robert Masala, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi ya Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu yaliyoandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Akiba Commercial Bank, Robert Masala, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi ya Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu yaliyofanyika Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Akiba Commercial Bank, Robert Masala, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi ya Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu yaliyofanyika Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali Watu Akiba Commercial Bank, Robert Masala.
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu Banclays Bank, Patrick Foya, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi ya
Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu yalitoandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam.
Mshiriki akiuliza swali.
Mshiriki wa mazungumzo hayo akiuliza swali.
Mshauri wa Kampuni ya Crystal Human Capital (CHC), Mosses Raymond, akichangia mada katika mazungumzo hayo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Crystal Human Capital (CHC), Capital, Solo Kabeho, akichangia mada katika mkutano.
Washiriki.
Baadhi ya washiriki.
Mkuu wa Idara ya Kozi Fupi na Shauri za Kitaaluma Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam, Dk. Faisal Issa, akizungumza katika mazungumzo ya Mwezi yaliyowakutanisha Wanataaluma ya Rasilimali Watu na kuandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe Tawi la Dar es Salaam kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu (HRSTA).
Baadhi ya washiriki.
Washiriki.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanataaluma ya Ujasiliamali Watu (HRSTA), Emmanuel Mnyawami, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wanataaluma hao kutoka taasisi mbalimbali.
Mkuu wa Idara ya Masomo ua Utawala, Dk. Mary Rutenge.
Mkuu wa Idara ya Masomo ua Utawala, Dk. Mary Rutenge, akizungumza katika mazungumzo yaliyowakutanisha Wanataaluma ya Rasilimali Watu kutoka taasisi makampuni na taasisi mbalimbali.
Picha ya pamoja.
Picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages