Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa
Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimshangilia Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipoingia kwenye ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwete jijiniDodoma kufungua mkutano huo, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza mtoto, Hussein Jailal
(kushoto) wakati alipotoa ushuhuda kwa niaba ya watoto wanaoishi katika
mazingira hatarishi katika Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii
wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara, uliofunguliwa na Waziri Mkuu
kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua
Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri
zote Tanzania Bara, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini
Dodoma, Januari 29, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua
Mkutano wa Mwaka wa Maafisa Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri
zote Tanzania Bara, kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini
Dodoma, Januari 29, 2019.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Maafisa
Ustawi wa Jamii wa Mikoa na Halmashauri zote Tanzania Bara wakimsikiliza
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua Mkutano huo kwenye
ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment