Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika mazishi ya Hidaya
Omar, mke wa Mufti wa Tanzania, Abubakary Zubier yaliyofanyika katika
kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika swala ya
jeneza wakati wa mazishi ya Hidaya Omar, Mke wa Mufti wa Tanzania,
Abubakary Zubeir (kushoto kwa Waziri Mkuu) yaliyofanyika katika kijiji
cha Kwamdolwa wilayani Korogwe, Januari 31, 2019. Kulia kwa Waziri Mkuu
ni Sheikh Mohammed Kigoda aliyeongoza sala hiyo na kushoto ni Sheikh wa
Mkoa wa Dar es salaam, Alhad Mussa Salum.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo katika kaburi la Hidaya Omar, mke
wa Mufti yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe,
Januari 31, 2019. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad
Mussa Salum.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mufti wa Tanzania,
Abubakary Zubeir baada ya kushiriki katika mazishi ya Hidaya Omar, mke
wa Mufti ,yaliyofanyika katika kijiji cha Kwamdolwa wilayani Korogwe,
Januari 31, 2019. Katikati ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam, Alhad
Mussa Salum.
No comments:
Post a Comment