Mapokezi ya Ndege ya Air Bus A220-300 nchini kwa mara ya kwanza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Robert Gabriel Mugabe kuashiria uzinduzi rasmi wa kuanza safari katika nchi za Zambia na Zimbabwe.
Waziri
wa uchukuzi na mawasiliano wa Serikali ya jamhuri ya muungano wa
Tanzania Mhandisi Isack Kamwele akisalimiana na Waziri wa Mazingira na
Utalii wa Zimbabwe, Prisca Mupfumira, mara baada ya ndege aina ya Air
Bus
A220-300 kutua kwa mara ya kwanza katika Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Robert Gabriel Mugabe kuashiria uzinduzi rasmi wa kuanza
safari katika nchi za Zambia na Zimbabwe.
Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele akisalimiana na baadhi ya wenyeji katika kiwanja cha ndege cha Robert Gabriel Mugabe mara baada ya kuwasili katika kiwanja hicho juzi wakati wa uzinduzi wa ndege aina ya Airbus A220-300 ya shirika la ndege Tanzania ilipoanza rasmi safari zake katika nchi ya Zimbabwe na Zambia.

Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhandisi Isack Kamwele, akiteta jambo na Waziri wa Mazingira na Utalii wa Zimbabwe, Prisca Mupfumira, mara baada ya ndege aina ya Air Bus
A220-300 kutua kwa mara ya kwanza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Robert Gabriel Mugabe kuashiria uzinduzi rasmi wa safari katika nchi za Zambia na Zimbabwe.
Mapokezi ya Ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania aina ya Air Bus A220-300 nchini Zimbabwe katika kiwanja cha ndege cha Robert Gabriel Mugabe, Harare.
Baadhi ya wafanyabiashara kutoka Tanzania Arusha na Dar es Salaam
waliongozana na waziri wa uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania Mandisi
Isack Kamwele wakizungumza kwenye Kiwanja cha Ndege cha kimataifa cha
Kenneth Kaunda Lusaka Zambia katika hafla ya uzinduzi wa safari za
ndege za ATCL juzi.
Kaimu Waziri wa Uchukuzi wa Zambia, Mutolwe Kafwaya, akikata keki maalum juzi katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kenneth Kaunda Lusaka Zambia wakati wa uzinduzi rasmi wa safari za ndege za Air Tanzania katika nchi hiyo kuanzia Feb.22. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano wa Tanzania Mhandisi Isack Kamwelwe,na kushoto ni balozi wa Zambia nchini Tanzania Benson Chali.

No comments:
Post a Comment