HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

February 22, 2019

TTB yasaini makubaliano na Rejoy ya China kuhusu maonesho ya ngumi na mikutano ya kibiashara

  Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, akitia saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maandalizi ya maonesho ya ngumi ya kimataifa yatakayoambatana na Mkutano wa Wafanyabiashara na Watalii kutoka katika mataifa 75 Duniani utakaofanyika mwanzoni mwa mwezi Julai mwaka huu 2019,kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa Kampuni ya Rejoy ya China inayoandaa mashindano hayo  Bw. Andrew Lu .
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya kimataifa ya Rejoy ya nchini China wakionyesha mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa maandalizi ya mchezo wa ngumi wa kimataifa utakaofanyika jijini Arusha mwezi Julai. (Picha na Maelezo).

No comments:

Post a Comment

Pages