Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George
Simbachawene akiwa ameambatana na wajumbe wake wakiwasili katika kiwanda cha Tanzania
Breweries Limited (TBL)Arusha kwa ajili ya kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki
(ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda
hicho.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mhe. George
Simbachawene akiwa ameambatana na wajumbe wake wakionyeshwa namna ambavyo bia
zinabandikwa Stempu za kielektroniki na Meneja wa Kiwanda cha Tanzania Breweries
Limited (TBL) Ndugu Joseph Mwaikasu.Wajumbe hao walitembelea kiwanda hicho kwa
lengo la kuangalia jinsi Mfumo wa Stempu za Kielektroniki (ETS) unavyofanya kazi katika kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment