Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin
Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
zawadi ya Kinyago Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed
bin Abdulrahman al Than kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi
ya picha ya Mlima Kilimanjaro mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo
ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi
zawadi ya Kinyago Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed
bin Abdulrahman al Than kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika
mazungumzo na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh
Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya
Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo ya Nje
Profesa Palamagamba Kabudi wanne kutoka kulia, Balozi wa Tanzania kutoka Qatar
Fatma Rajab watatu kutoka kushoto pamoja na Balozi Zuhura Bundala wakwanza
kushoto.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni
wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin
Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment