Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu cha Maombolezo mara
baada ya kuwasili Kimara kwa ajili ya kutoa heshma za Mwisho kwa mwili wa
marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa Iringa Mjini
Mchungaji Peter Msigwa aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa heshima za mwisho katika
jeneza la marehemu Tryphosa Simon Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa Iringa
Mjini Mchungaji Peter Msigwa aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa Msibani pamoja na Mkewe Mama
Janeth Magufuli wakwanza kulia, Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa
wakwanza kushoto aliyekaa pamoja na ndugu zake kufatia kifo cha Dada yake
marehemu Tryphosa Simon Sanga kilichotokea juzi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Kimara msibani huku
akizungumza jambo na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa ambaye
alifiwa na Dada yake marehemu Tryphosa Simon Sanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa
Arusha Mjini Godbless Lema wakati akitoka kutoa heshma za mwisho kwenye
msiba wa marehemu Tryphosa Simon Sanga
ambaye ni Dada wa Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa aliyefariki
juzi jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka eneo la msibani Kimara mara
baada ya kutoa heshma za mwisho kufatia kifo cha wa marehemu Tryphosa Simon
Sanga ambaye ni Dada wa Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa
aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam. PICHA
NA IKULU.
No comments:
Post a Comment