Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais
Mhe.Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu
Chamwino Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Makamu wa Rais Mhe.Samia
Suluhu Hassan mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino
Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.
Picha namba 3. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa mara baada ya kufungua rasmi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino
Jijini Dodoma. Aprili 13,2019.
Picha namba 4-5. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais
Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi pamoja na Mkurugenzi wa
Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba kuashiria Ufunguzi rasmi wa
majengo mapya ya Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Picha namba 6-7. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua majengo mapya ya Ikulu
Chamwino akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi
Balozi John Kijazi, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus
Kipilimba pamoja na Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya
kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua majengo mapya ya Ikulu Chamwino
akiwa ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi
John Kijazi, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba
pamoja na Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka mara baada ya kufungua majengo
hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akielezea
kuhusu mradi wa ujenzi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino huku akiwa
ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba, mara
baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka akielezea
kuhusu mradi wa ujenzi wa majengo mapya ya Ikulu Chamwino huku akiwa
ameambatana na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli,Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt.Modestus Kipilimba, mara
baada ya kufungua majengo hayo .Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.Aprili 13,2019.
Sehemu ya majengo mapya ya Ikulu
Chamwino Jijini Dodoma. Ambayo yamefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Aprili 13,2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment