HABARI MSETO (HEADER)

Breaking

April 14, 2019

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akimsikiliza Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (kulia) akiagana  na Balozi wa China nchini Wang KE mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. PICHA NA BUNGE.

No comments:

Post a Comment

Pages