Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki akishiriki Misa Takatifu ya
Alhamisi Kuu katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar
es Salaam.

Waumini wa
Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa
Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam.
Waumini wa
Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakiwa katika Misa
Takatifu ya Alhamisi Kuu kanisani hapo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment