Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi wengine akikata
utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itaayotumika katika ujenzi wa Barabara ya
Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla
iliyofanyika sehemu ya Naliendelea mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
na Mkewe Mama Janeth Magufuli pamoja na Viongozi wengine wa Wizara ya Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Mkoa wa Mtwara, Wabunge na viongozi wengine akivuta
utepe kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi
km 210 sehemu ya Mtwara-Mnivata km 50 katika hafla iliyofanyika sehemu ya
Naliendelea mkoani Mtwara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia wananchi wa Naliendele mkoani Mtwara kabla ya kuweka jiwe la msingi
katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya
Mtwara-Mnivata km 50.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanachi wa Naliendele mkoani Mtwara wakati akielekea kuweka jiwe
la msingi katika ujenzi wa Barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 sehemu ya
Mtwara-Mnivata km 50.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Mtwara mjini Murji mara baada ya kuweka
jiwe la msingi mradi wa ujenzi huo wa barabara.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wananchi wa Nanguruwe mkoani Mtwara wakati akielekaea Newala.
Wananchi wa Nanguruwe Mtwara vijijini wakishangilia mara baada ya
Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwatatulia sehemu itakapojengwa hospitali
katikka eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Nanguruwe mkoani Mtwara wakati akielekaea Newala.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Wananchi wa Nanyamba mkoani Mtwara wakati akielekea Newala.
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment