Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama
Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali Venance Mabeyo,
watano kutoka kulia, Mkuu wa JKT Meja
Jenerali Martin Busungu watano kutoka kushoto, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma
Godfrey Zambi wanne kutoka kushoto pamoja na Mawaziri, akikata utepe kuashiria
uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea
mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa
Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi wakivuta utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa
Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mashine za Kiwanda cha kuchakata
Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma huku akipata maelezo
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
unga wa mahindi (Sembe) uliopakiwa tayari kwa ajili ya kuingia sokoni katika
kiwanda hicho cha kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani
Ruvuma.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anatoka ndani
ya Kiwanda hicho cha kuchakata mahindi pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF
Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya ukaguzi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamanda wa
Jeshi la Wananchi JWTZ mara baada ya kuwasili kiwandani hapo.
Sehemu ya Mashine za Kiwanda
hicho cha Kuchakata mahindi chha JKT Mlale.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Gawio la Shilingi Milioni 700 kutoka kwa Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin
Busungu mara baada ya uzinduzi wa Kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment