HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 02, 2019

UKUMBI WA MIHADHARA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE WAZINDULIWA

 Muonekano wa jengo Jipya la Kisasa la Ukumbi wa Mihadhara Chuo cha Kukumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ukumbi Mpya wa Kisasa wa Mihadhara wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Shadrack Mwakalila.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako akiwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephene Wasira wakifungua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria uzinduzi wa jengo jipya la mihadhara
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akiangalia thamani zilizowekwa katika ukumbi huo.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako, akiwa katika ukumbi huo.
Waziri wa zamani wa Elimu na Ufundi, Thabita Siwale (katikati), akishuhudia uzinduzi huo.
Baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika chuo hicho wakifuatilia hotuba za viongozi wakati wa uzinduzi wa jengo la ukumbi wa mihadhara chuoni hapo.

No comments:

Post a Comment

Pages