Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli,
akiteta jambo na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, kwenye uzinduzi wa mji
wa Serikali eneo la Mtumba, jijini Dodoma Aprili 13, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa taarifa ya
Serikali kuhamia Dodom, kwenye uzinduzi wa mji wa Serikali eneo la Mtumba, jijini
Dodoma Aprili 13, 2019. Mgeni rasmi alikua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. John Magufuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment