Kiungo
wa Yanga, Pius Buswita, akijaribu kumtoka winga wa African Lyon,
Said Mtikila, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliopigwa katika
Dimba la Kirumba leo. Yanga imeshinda 2-0. (Picha na Abdallah Chaus).
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Pius Buswita, akimiliki mpira mbele ya winga wa African Lyon Said Mtikila.
No comments:
Post a Comment