Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam, Francis Lukwaro (katikati), akibadilishana mawazo na Ofisa Uhusiano wa Benki ya CRDB Dawati la India, Hasnain Dinani (kushoto) na Meneja wa Benki ya CRDB Dawati Maalum China na India, Frederick Mwamyalla, wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam.Mkutano huo ulidhaminiwa na Bemki ya CRDB.
Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam, Francis Lukwaro, akifafanua jambo.
Ofisa Uhusiano wa Benki ya CRDB Dawati la China, Ibrahim Masai (kulia), akifafanua jambo kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam, Francis Lukwaro, akitoa hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) wa TCCIA.
Baadhi ya washiriki wa AGM.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda, akitoa hotuba yake wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi.
Washiriki.
Meza Kuu.
Baadhi ya viongozi wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi.
Meza Kuu.
Washiriki.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda, akipongezwa na Kaimu Rais wa Chemba ya Wafanyabiashara Wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA), Octavian Mshiu.
Meneja wa Benki ya CRDB Dawati Maalum
China na India, Frederick Mwamyalla, akitoa mada kuhusu bidhaa zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka
(AGM) wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam.
Meneja wa Benki ya CRDB Dawati Maalum
China na India, Frederick Mwamyalla, akitoa mada kuhusu bidhaa zinazotolewa na Benki ya CRDB wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka
(AGM) wa TCCIA Mkoa wa Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki akiuliza swali.
No comments:
Post a Comment