Diwani wa Kata ya Kilungule ya
wilayani Temeke, Said Fella, akifafanua jambo jijini Dar
es Salaam, wakati wa zoezi la kupima afya bure kwa wakazi wa maneo
hayo. Diwani huyo alisema kuwa baada ya yeye kuugua ghafla aliona kuna umuhimu wa kupima afya
kabla matatizo hayajatokea ndipo alipoamua kuanzisha zoezi hilo kwa ajili ya
wananchi wake. (Na Mpiga Picha Wetu).
Diwani wa Kata ya Kilungule ya
wilayani Temeke, Said Fella, akifafanua jambo jijini Dar
es Salaam, wakati wa zoezi la kupima afya bure kwa wakazi wa maeneo
hayo. Diwani huyo alisema kuwa baada ya yeye kuugua ghafla aliona kuna umuhimu wa kupima afya
kabla matatizo hayajatokea ndipo alipoamua kuanzisha zoezi hilo kwa ajili ya
wananchi wake.
Diwani wa Kata ya Kilungule ya
wilayani Temeke, Said Fella, akiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment