HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 18, 2019

MKUTANO MKUU WA 24 WA WANAHISA WA BENKI YA CRDB WAFANYIKA JIJINI ARUSHA LEO MEI 18, 2019

Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, akizungumza wakati wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC) jijini Arusha leo. (Picha na Francis Dande).

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wakianza kwa Sala.

Mkutano Mkuu wa Wanahisa ukianza kwa sala.
Makamu Mwenyekiti wa Mkutano wa 24 wa Benki ya CRDB, Abeid Mwasajoni.

Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani akiongoza mkutano huo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akiwa na manaibu wakurugenzi watendaji wa benki hiyo, Dk. Joseph Witts's. Dk. Joseph Witts (kushoto) na Esther Kitoka.

Wajumbe wa mkutano wa 24 wa wanahisa wa Benki ya CRDB.

Mkurugenzi Mtendaji aliyemaliza muda wake wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akitoa mchango wake wakati wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.

Baadhi ya wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika mkutano huo.

Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Benki ya CRDB, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani akiendesha mkutano huo.

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensena, akiwa katika mkutano huo.

Mwenyeki wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Benki ya CRDB wakitoa taarifa ya fedha.

Washiriki wa mkutano huo.

Wawakilishi kutoka katika taasisi mbalimbali.

Mwenyeki wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Benki ya CRDB akitoa taarifa ya mwelikeo wa benki.

Mkutano ukiendelea.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akitoa taarifa ya fedha ya mwaka 2018.

Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wanahisa.

Washiriki.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela, akitoa taarifa ya fedha ya mwaka 2018.

Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Einar Jensena, kifuatilia mkutano huo.

Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya CRDB, Fredrick Nshakanabo, akitoa taarifa ya fedha ya benki hiyo katika Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB.

Mkurugenzi wa zamani wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akifuatilia Mkutano wa 24 wa Wanahisa wa benki hiyo.

Mkurugenzi wa zamani wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na Wanahisa wa benki hiyo wakati akiwaaga baada ya kustaafu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB aliyemaliza muda wake Dk, Charles Kimei (kulia), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Abdulmajid Nsekela, wakati wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa benki hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha.

 Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB (DMD-COS), Dk. Joseph Witts (kushoto) akiwa na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Esther Kitoka.
Mwenyekiti wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhani (kushoto), akiteta jambo na Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo.
Abdul Mohamed akiwashukuru Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB ili kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo.
Baadhi ya wajumbe wa bodi majina waliopitishwa na mkutano mkuu.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, wakiagana na Wanahisa wa Benki ya CRDB baada ya kumaliza mkutano wao.

Picha ya pamoja ya wanakamati ya maandalizi ya mkutano huo.
Wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja.
Wanakamati wakiwa katika picha ya pamoja.

Wanakamati wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa 24 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB, wakiwa wamembeba Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo, baada ya kumalizika kwa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Pages