Wajumbe wa Bodi ya Mradi wa
Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakiwa katika kikao cha Bodi
kilichofanyika Katika Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. kikao hicho kiliongozwa na
Naibu Spika, Mhe. Dkt.Tulia Ackoson na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah.
Wajumbe wa Bodi ya Mradi wa
Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakiwa katika kikao cha Bodi
kilichofanyika Katika Ukumbi wa Spika Jijini Dodoma. kikao hicho kiliongozwa na
Naibu Spika, Mhe. Dkt.Tulia Ackoson na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Verity Nyagah
No comments:
Post a Comment