Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kuweka shada la maua katika
Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre mara baada
ya kuwasili katika eneo hilo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali
mbele ya Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre
mara baada ya kuweka shada la maua.
Picha namba 4. Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka pamoja na
mwenyeji wake Rais wa Namibia Hage Geingob mara baada ya kuweka shada la maua
katika Makaburi ya Mashujaa wa Namibia yaliyopo katika eneo la Heroes’ Acre.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
kiwanda cha nyama cha Meatco kilichopo jijini katikati mwa mji wa Windhoek
Namibia. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment