Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimweleza Mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob alichokiandika kwenye kitabu cha
kumbukumbu kwa Lugha ya Kiswahili Katika kuhakikisha Kiswahili kinatangazwa
kimataifa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Jijini Windhoek Nchini
Namibia.Mei 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifunua kitambaa na mwenyeji wake
Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob kuashiria uzinduzi rasmi wa mtaa
Julius K. Nyerere ulipo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob alipokuwa akimuonyesha Makongoro Nyerere
mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mtaa mpya unaoitwa JULIUS
K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia.Mei 27, 2019.
Mtaa mpya wenye jina Hayati Baba
wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE ukifunuliwa rasmi
mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage
Geingob katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifurahi na mwenyeji wake Rais wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob wakati
wa hafla ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.
Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini
Namibia. Mei 27, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipongezana na mwenyeji wake Rais
wa Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE
uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na mwenyeji wake Rais wa
Namibia Mheshimiwa Dkt. Hage Geingob wakati wa hafla ya kuzindua mtaa mpya wa
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE
uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini Namibia. Mei 27, 2019.
.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza Watanzania wanaoishi Namibia
mara baada ya kuzindua mtaa mpya wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.
Nyerere unaoitwa JULIUS K. NYERERE uliopo katika Jiji la Windhoek Nchini
Namibia.Mei 27, 2019. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment