Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba wakati akiwasili
katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo katika Gorofa la Extelecom Posta
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Wakuu wa Mikoa minne nchini kwa njia ya Simu ya Video Conference mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Ofisi za Shirika hilo la TTCL
lililopo katika Gorofa la Extelecom Posta jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea
Gawio la Serikali kiasi cha Shilingi Bilioni 2.1 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba, Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Omar Nundu katika
hafla fupi iliyofanyika katika makao makuu ya Shirika hilo jijini Dar es
Salaam.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza
jambo kuhusu uzalendo na kuunga mkono
Shirika la Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wageni mbalimbali waliofika katika hafla ya upokeaji wa Gawio kwa Serikali
kutoka kwa Shirika la Mawasiliano TTCL jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL Waziri Kindamba
mara baada ya kuwasili katika eneo la utoaji wa Gawio katika ofisi za Shirika
hilo jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
vitendea kazi mbalimbali katika makumbusho iliyopo ndani ya Ofisi za Shirika la
Mawasiliano Tanzania TTCL jijini Dar es Salaam.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa TTCL mara baada
hafla ya upokeaji wa Gawio la Serikali katika Ofisi hizo za TTCL. (PICHA NA IKULU).
Saved as ɑ favorite, I like your web site!
ReplyDelete