Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
wakishiriki Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar
es Salaam leo tarehe 19 Mei 2019.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja
na waumini wengine wa Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
wakishiriki Ibada ya Dominika ya Tano ya Pasaka katika Kanisa hilo jijini Dar
es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
mtoto ambaye ni muumini wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam mara baada ya Ibada Kanisani hapo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Padre Dkt.
Alister Makubi mara baada ya Ibada kanisani hapo.

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
Padre Dkt. Alister Makubi pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon
Sirro mara baada ya Ibada katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Oysterbay jijini Dar es Salaam. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment