HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 31, 2019

SOS YATOA MSAADA DAWATI LA JINSIA-IRINGA

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Juma Bwire (kushoto), akipokea msaada wa Samani za Makabati 3, viti 15 na Meza 3 kutoka kwa Taasisi ya SOS Children Village Tanzania tawi la Iringa vya thamani ya Tsh 2,700,000/= ambavyo vitatumika kwenye Kitengo cha Dawati la Jinsia na Watoto ngazi ya Kata. (Picha na Datus Mahendeka wa Jeshi la Polisi).

No comments:

Post a Comment

Pages