Kaimu Rais
wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Octavian Mshiu.
Kaimu Rais
wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Octavian Mshiu, akiwa amepozi na Dk. Reginald Mengi.
Na Nicolas
Gilliard
KAIMU Rais
wa chemba ya wafanyabiashara wenye
viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA), Octavian Mshiu, Bodi, Wanachama na
wafanyabiashara wanapenda kuungana na
wanachi wote wa Tanzania kutoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Dk.
Reginald Abraham Mengi ndugu jamaa na marafiki, mungu ailaze roho ya marehemu
mahali pema peponi.
Aidha Mshiu amesema
atamkumbuka Dr.Mengi daima kutokana na mchango wake katika sekta ya biashara na jamii ambako akusita kutoa msaada palea
walipoitaji.
Amesema kuwa
Dr.Mengi ameacha pengo kubwa sana kwa CAN, I MUST, I WILL-THE SPIRIT OF SUCCESS kitabu kinachohusu jinsi
alivyofanikiwa kimaisha na historia ya maisha yake tokea akiwa mtoto mdogo
akichunga mbuzi kijijini kwake kule Machame.
No comments:
Post a Comment