HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 02, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA MAMIA YA WANANCHI WA MBARALI MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Barafu Mbarali mkoani Mbeya kwa ajili ya kuwahutubia wanachi.
 Sehemu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Barafu Mbarali kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Picha namba 8. Barabara ya TANZAM highway sehemu ya  Igawa-Mbeya eneo la Igawa ikiwa katika mandhari ya kupendeza mara baada ya ukarabati mkubwa wa Barabara hiyo. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages