Rais Dkt. Magufuli
amemwandalia mgeni wake Rais Felix Tshisekedi keki ya Birthday ampongeza
kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchini Tanzania wakati wa Dhifa ya
Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.
Rais Dkt.Magufuli akimtumbuiza mgeni wake Rais Felix Tshisekedi akiwa na Wanamuziki Christian Bella, King Kikii na Christina Shusho mara baada ya kumpa keki ya Birthday na kumpongeza kwa kusherekea miaka 57 ya kuzaliwa akiwa nchinimTanzania Wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia Ikulu Jijini Dar es Salaam. June 13, 2019.

No comments:
Post a Comment