HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 23, 2019

MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA DKT. BADRIYA, MKE WA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR

Waombolezaji wakiwa wamebeja mwili wa Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika mazishi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitupa udongo kwenye kaburi la Dkt. Badriya Abubakar Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na ndugu na jamaa wa marehemu Dkt. Badriya Abdallah Gurnah, mke wa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Abdallah Juma Mabodi katika mazishi ya Daktari huyo yaliyofanyika kwenye makaburi ya Upanga jijini Dar es salaam, Juni 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Pages