HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 23, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AMEHANI MSIBA KWA FAMILIA YA ABAS TARIMBA JIJINI DAR

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na  Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni ambaye hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akisalimiana na  mke wa Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwao Kinondoni ambao hivi karibuni wamefiwa na watoto wao wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akizungumza na  Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani msiba ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akimpa mkono wa pole Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani msiba ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akiagana na  Bw. Abbas Tarimba Abbas nyumbani kwake Kinondoni alipokwenda kuhani msiba ambapo hivi karibuni amefiwa na watoto wake wawili (mmoja alifariki dunia miezi mitatu iliyopita na mwngine wiki iliyopita jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages