Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni
kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu
Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Picha na Mpigapicha Wetu
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo, Juliana Shonza akisalimiana na wachezaji wa timu
ya Kundemba, kabla ya kuanza kwa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa
Nusu Fainali wa Mashindano ya Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya
Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kulia ni Naibu
Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo, Juliana Shonza akizungumza kabla ya kuanza mchezo wa Nusu Fainali wa Mashindano ya
Masauni/Jazeera uliofanyika katika Viwanja vya Tumbaku, Visiwani Zanzibar. Kushoto
ni Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni, Mhandisi
Hamad Masauni.
No comments:
Post a Comment