HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 11, 2019

SPIKA WA BUNGE LA RWANDA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA JIJINI DODOMA

Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo(wote hawapo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma. Kushoto ni Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson.

Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Rwanda pamoja na wajumbe wa umoja huo katika kikao kilichofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille na kushoto kwake ni Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson

Makamu Mwenyekiti umoja wa Wabunge wanawake Tanzania (TWPG), Mhe. Suzan Lyimo, Katibu wa Umoja huo, Mhe. Lolensia Bukwimba wakifuatilia mazungumzo baina yao na ugeni kutoka Bunge la Rwanda uliofanyika leo nyumbani kwa Spika Ndugai uzunguni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

No comments:

Post a Comment

Pages