Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akijumuika katika Futari Maalum iliofanyika katika
viwanja vya Ikulu Zabnzibar kulia Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Amani Karume na kushoto
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibarv Mhe, Seif Ali Iddi, wakijumuika na
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Maghari katika futari hiyo iliofanyika Viwanja
vya Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyewkiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar
Kabi na Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe. Dk. Amani Karume, wakipata futari
ya tende katika viwanja vya Ikulu Zanzibar na kushoto Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, futari hiyo imefanyika jana
2-6-2019,katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akijumuika na
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika futari Maalum
ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
katika viwanja vya Ikulu Zanzibar kushoto Mke wa Makamu wa Pili wa Rais
wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi. (Picha na Ikulu).
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika
katika Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi katikac viwanja vya Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika
katika Futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi katikac viwanja vya Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Mabalozi Wadogo wanaowakilisha Nchi Zanzibar wanaofanyia zao
Zanzibar wakishiriki katika hafla ya futari Maalum ilioandaliwa na Rais
wa Zanzibar katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akizungumza na kutowa shukrani kwa Niaba
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali
Mohamed Shein, iliofanyika katika viwanja vya Ikulu Zanzibar. (Picha na
Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na
kuagana na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya
kumalizika kwa hafla ya futari iliofanyika Ikulu Zanzibar (Picha na
Ikulu).
No comments:
Post a Comment