Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo TIB (TIB Development), Dk. Maria Mashingo (kushoto), akimkabidhi mkataba wa huduma kwa wateja Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Charles Singili, katika hafla ya uzinduzi wa mkataba huo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki uliolenga kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wa benki hiyo, kuelewa mahitaji yao pamoja na kujenga mahusiano ya kudumu na wateja wake.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo TIB Dk. Maria Mashingo (kushoto) akimkabidhi mkataba wa huduma kwa wateja mmoja wa wateja wakubwa wa Benki hiyo Bw. Joseph Kidaha, ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Konectt Wire & Cable katika hafla ya uzinduzi wa mkataba huo jijini Dar es salaam uliolenga kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wa benki hiyo, kuelewa mahitaji yao pamoja na kujenga mahusiano ya kudumu na wateja wake.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo TIB Dkt. Maria Mashingo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wateja na wafanya kazi wa benki hiyo katika halfa ya uzinduzi wa Mkataba wa Huduma kwa Wateja uliofanyika jijini Dar es Salaam uliolenga kutoa huduma bora kwa wateja na wadau wa benki hiyo, kuelewa mahitaji yao pamoja na kujenga mahusiano ya kudumu na wateja wake.
No comments:
Post a Comment