Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, akiakimjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa,
katika Hospitali ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi waliyofika kupata huduma, katika Hospitali
ya Mkoa, jijini Dodoma, Juni 24.2019, baada ya kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga, aliyelazwa
hospitalini hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment