HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 30, 2019

MKATABA WA UJENZI WA DARAJA LA KIGONGO-BUSISI MKOANI MWANZA LA KM 3.2 WASAINIWA

 Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale  akiuelezea  Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi  la Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania
(TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe akiongea kabla ya kusainiwa kwa Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo
Julai 29, 2019.
 Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye,  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo na Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. John Mongella akiongea machache kabla ya
Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
 akamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Hawa Mchafu Chakoma katika hafla ya uwekaji saini Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye.  Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakiweka saini  na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Mbunge wa Geita Mhe Joseph Kasheku Msukuma akitoa shukrani kwa serikali ya awamu ya Tano kwa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo  wakishuhudia Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale
wakibadilishana nyaraka baada ya kuweka saini na Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe, Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Atashasta Nditiye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.  Suleiman Jaffo, Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale na wabunge wa Kanda ya Kiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa Mkandarasi China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) Mkataba wa Mradi wa Ujenzi wa Darala la Kigongo-Busisi Mwanza wa Km 3.2 kusainiwa katika hafla iliyofanyika makao makuu ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2019.

No comments:

Post a Comment

Pages