HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 22, 2019

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George Simbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela akiwalisha viapo vya maadili ya viongozi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Kilimo,  baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. Hussein Bashe baada ya kumuapisha kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. George Simbachawena baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini
Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi waandamizi
kutoka ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli,Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi  wakuu wa
vyombo vy ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. GeorgeSimbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi waandamizi kutoka ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akijiandaa
kundoka mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019.

PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Pages