Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, amesema hana nia wala
Adhma ya kugombea Urais wa Zanzibar jambo
ambalo siyo kweli na wala hana nia hiyo, amesema kumekuwa na maneno kutoka kwa baadhi ya watu
kwamba amekuwa na nia ya kugombea au kuwania kiti cha Urais wa Zanzibar katika
Uchaguzi Ujao jambo ambalo siyo kweli.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wageni wa
Kituruki waliohudhuria katika maonesho ya kilele cha Sherehe ya siku ya
Wakizimkazi inayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini
Unguja leo Agosti 26, 2019.
Wazee wa Kijiji cha Kizimkazi wakishiriki kwenye Ngoma ya
Kijadi maarufu kama Shomoo wakati wa kilele cha Sherehe ya siku ya Wakizimkazi
inayofanyika kila Mwaka katika kijiji cha Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo
Agost 26, 2019. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
No comments:
Post a Comment