Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan kulia, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa
kushoto, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho kikwete wa pili kushoto
na Rais Msataafu wa Somalia Prof. Hassan Sheikh Mohammed, wakiingia kwenye
ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa
la Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa
Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa
siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agost 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na
kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu
wa Nchi za Afrika umemalizika leo. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kulia na Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa wakiwa wakisikiliza moja ya mada
zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano
Mkuu wa Sita wa Jukwaa la Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza
usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani
Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agost 2019 Ikulu
Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za
Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika umemalizika leo.
Rais Mstaafu wa Awamu
ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa akifunga Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa ka
Uongozi Barani Afrika Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa
Maliasili kwa mabadiliko ya kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa
siku mbili uliofanyika tarehe 29/30, Agost 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na
kuhudhuriwa na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu
wa Nchi za Afrika umemalizika leo.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati, Rais Mstaafu
wa Awamu ya Tatu Mhe. Benjamin Wiliam Mkapa kulia na Rais Msataafu wa Afrika ya
Kusini Mhe. Tabo Mbeki wakijadiliana
jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Sita wa Jukwaa ka Uongozi Barani Afrika
Uliojadili suala la kuendeleza usimamizi mzuri wa Maliasili kwa mabadiliko ya
kijamii na kiuchumi Barani Afrika. Mkutano huo wa siku mbili uliofanyika tarehe
29/30, Agost 2019 Ikulu Jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wa
Taasisi mbalimbali za Kimataifa na Marais Wastaafu wa Nchi za Afrika
umemalizika leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
No comments:
Post a Comment