Mkuu
wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi,
akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara ndogondogo wa
bidhaa za ngozi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa
na Benki ya NMB. (Picha na Francis Dande). Mkuu
wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Prof. Honest Ngowi,
akifungua mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara ndogondogo wa
bidhaa za ngozi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam na kudhaminiwa
na Benki ya NMB.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani).
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani).
Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu Mzumbe, Theresia Kagua.
Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu Mzumbe, Theresia Kagua.
Washiriki.
Washiriki wakiwa katika mafunzo hayo.
Washiriki.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vikundi vya Wenye Viwanda na Biashara Ndogondogo (Vibindo), Gaston Kikuwi, akitoa mada wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara ndogondogo jijini Dar es Salaam.
Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Ilala, Seka Urio, akitoa elimu kuhusu masuala
ya fedha wakati wa mafunzo ya wajasiriamali wa bidhaa za ngozi
yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Machinga Complex.
Tunajifunza.
Mkufunzi kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Yusuph Zuberi, akitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wafanyabiashara ndogondogo katika soko la Machinga Complex jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment