Waziri
wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof.
Joyce Ndalichako, akiwakabidhi kikombe washindi wa jumla wanafunzi wa
Shule
ya Sekondari ya Chief Dodo, Editha Philipo (katikati) na Nasra Mpochi
Dar
es Salaam kwenye hafla ya kuwazawadia Wanasayansi Chipukizi Tanzania kwa
mwaka 2019 katika Ukumbi wa Kimatatifa wa Julius Nyerere.
Baadhi ya wanafunzi wakionesha mfumo wa kidigitali wa kupandisha maji katika tenki wakati wa Maonesho ya Kazi za Wanasayansi Chipukizi jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako, akisaini kitabu cha wageni.
No comments:
Post a Comment